Alikiba amkana mwanamke aliyemchora Tattoo

Picha Kushoto ni Msanii Alikiba na Kulia ni Muigizaji Lucy Okoth anayedai kuwa na mahusiano naye.

Mfalme wa Bongofleva, Alikiba, amekana kama aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji kutoka nchini Kenya, aitwaye Lucy Achieng Okoth, maarufu kama Bridget Achieng.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS