'Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho' - JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari.

