'Tanzania imenitambulisha kwenye Dunia' - Bella
Msanii Christian Bella, amesema kuwa ameishi kwenye muziki wa Tanzania kwa muda wa miaka 13, ambao umemfanya awe maarufu na kutambulika duniani, licha ya kuwa bado hajapata Uraia wa kuishi moja kwa moja hapa nchini.