Ujumbe aliouacha Bashiru jimboni kwa Zitto Kabwe
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinapata ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, katika kiti cha Ubunge na Halmashauri ya Kigoma Mjini, ambayo inaongozwa na Mbunge Zitto Kabwe, na Chama Cha ACT - Wazalendo.

