Jinsi alikiba Alivyopokelewa Kifalme Morogoro
Mfalme wa Muziki wa BongoFleva Alikiba amepokelewa kwa shangwe akiwa mkoani Morogoro, akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kwa ajili ya Tamasha lake la #AlikibaUnforgettableTour litakalofanyika siku ya Jumamosi.