Waziri amteua Mtendaji Mkuu BRELA

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa.

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, amemteua Godfery Simango Nyaisa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS