Mnyika awa Mrithi wa Mashinji
Mbunge wa Kibamba John Mnyika, ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya jina lake kupendekezwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, na kupitishwa na Baraza Kuu la chama.