Mbowe afichua siri ya uongozi wake CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema moja ya siri kubwa ambayo imemfanya awe imara katika uongozi wake ni kutoa nafasi ya kuwasikiliza watu wengine wanaotaka kumshauri, lakini pia amekiri kuwa mgumu wa kujibu.