Alichosema Lipumba baada ya kuzuiliwa na Polisi Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amezuiliwa wilayani Mkinga mkoani Tanga, kwa kufanya msafara bila kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi. Read more about Alichosema Lipumba baada ya kuzuiliwa na Polisi