'Baba akichepuka ni maarufu kuliko mama"-Nikki Pichani ni msanii Nikki wa Pili MwanaHipHop kutokea kampuni ya Weusi Nikki wa Pili, amesema kwenye mahusiano ya ndoa, Baba akichepuka ndiyo inakuwa maarufu zaidi kuliko Mama anapochepuka. Read more about 'Baba akichepuka ni maarufu kuliko mama"-Nikki