Adakwa na karatasi zinazobadilika kuwa dola bandia
Mamlaka ya Mapato nchini Uganda (URA), imemkamata Duach Toang, Raia wa Sudan Kusini, akiwa na karatasi zenye usawa wa dola na kemikali ambayo ukiimwaga, karatasi hizo hubadilika na kuwa dola ambazo ni bandia.

