Rekodi ya haraka zaidi ya Aubameyang, Arsenal Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre Emereck Aubameyang amekua mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo kufunga mabao 50 kwa haraka zaidi katika ligi kuu ya Uingereza, akitumia mechi 79. Read more about Rekodi ya haraka zaidi ya Aubameyang, Arsenal