"Steve Nyerere kaniongelea mbovu' - Idris Sultan
Mchekeshaji Idris Sultan amefunguka na kusema hataki kuwa mnafiki kwani Steve Nyerere alimuongelea mbovu kwenye mahojiano aliyofanya, ila kwa sasa anamtia nguvu kwa wakati huu mgumu anaopitia baada ya kushindwa kwenye kura za maoni ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini.

