Gwajima ajitosa Ubunge rasmi Kawe

Mtia nia wa Ubunge, Jimbo la Kawe na Mhungaji wa Kanisa la Ufufu na Uzima, Josephat Gwajima.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS