Sababu ya Donald Ngoma kutupiwa virago Azam FC

Donald Ngoma akiwa kwenye moja ya mechi za Azam FC

Mshambuliaji Donald Ngoma raia wa Zimbabwe, ametupiwa virago na Klabu yake ya Azam FC. Ngoma amemaliza mkataba wake rasmi na Azam FC jana ambapo pande zote zimefikia makubaliano ya kuachana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS