Watanzania 60 warejea nchini kwa ndege maalum
Raia takribani 60 wa Tanzania waliokwama Afrika Kusini kutokana na zuio lililowekwa la kutoka au kutosafiri nje ya nchi hiyo kutokana na mlipuko wa COVID-19, wamerejea nchini leo Alfajiri wakitokea Johannesburg.