"Pumzika salama mtani wangu" - Rais Magufuli
Rais Magufuli ameonesha kuguswa na kifo cha aliyekuwa miongoni mwa Mawaziri 11 wa kwanza wa Tanganyika, Balozi Job Lusinde, na kuwapa pole wanafamilia wote, huku akieleza ni kwa namna gani ataukumbuka mchango wake mkubwa kwa Taifa.

