Watalii ruksa kuingia Tanzania, anga lafunguliwa

Wataliii

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, ametangaza kufunguliwa kwa anga la Ndege la Tanzania, ambapo kwa sasa Ndege za Kitalii, na kibiashara zitaruhusiwa kuingia nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS