Mke wa Tunda Man kupokonywa gari na Chief Kiumbe Msanii wa BongoFleva Tunda Man akiwa na mkewe Sabra Captain wa BongoFleva Tunda Man amenyoosha maelezo kuhusu mke wake kupokonywa gari na Chief Kiumbe, gari ambalo alimzawadia kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mkewe huyo mwaka jana 2019. Read more about Mke wa Tunda Man kupokonywa gari na Chief Kiumbe