Corona inavyotia dosari kurejea kwa Premier League
Baada ya vilabu 20 vya Premier League kukubaliana kuanza mazoezi siku ya Jumanne Mei 19, 2020 kwaajili ya maandalizi ya kuendelea na msimu wa ligi kuu nchini England huenda ripoti ya vipimo ikatia dosari hatua hiyo.