Hawa ndio 11 walioomba kupitishwa Urais CHADEMA

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Juni 17, 2020, kimetangaza majina ya Wanachama wake 11 walioomba kuteuliwa na Chama hicho kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS