Calisah na Wema Sepetu tena, "hawezi kunikataa" Mwanamitindo Calisah na staa wa filamu Bongo Wema Sepetu Mwanamitindo Calisah amesema Wema Sepetu ni mmoja ya wapenzi wake ambao wanawasiliana sana na hata akitaka kwenda kwake hawezi kumkataza. Read more about Calisah na Wema Sepetu tena, "hawezi kunikataa"