UDP yatangaza kuiunga mkono CCM Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo (kushoto) Chama cha United Democratic Party (UDP) kimetangaza rasmi kumuunga mkono mgombea wa Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020. Read more about UDP yatangaza kuiunga mkono CCM