Setien akiri kuwa Suarez ni wa pekee.
Kocha wa Barcelona Quique Setien amepongeza uwezo wa mshambuliaji wake Luis Suarez ambaye aliifungia timu yake bao pekee na la ushindi katika mchezo wa jana dhidi ya Espanyol ambao umeendelea kuwapa matumaini ya kutetea taji la La Liga msimu huu.

