'Order' kutoka juu ilivyomlaza Idris Mahabusu
Mwanasheria wa msanii Idris Sultan, Ben Ishabakaki, amesema kuwa jana walishindwa kumtoa mteja wake Polisi, baada ya kunyimwa dhamana kwa kile walichoelezwa kuwa, hilo ni agizo kutoka Mamlaka za juu za Jeshi la Polisi.