Picha ya mwezi, Prof Jay na P Majani imeisha hiyo
Baada ya kuwa na tofauti kwa wakongwe wa muziki hapa nchini kati ya mtayarishaji P Funk Majani na Mbunge anayeongoza watu na wanyama jimbo la Mikumi Prof Jay, wameonekana kumaliza tofauti zao baada ya kupost picha wakiwa pamoja.

