Makonda aondolewa, RAS wake awa RC Dar es salaam

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemteua aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge, kuwa Mkuu wa Mkoa huo akichukua nafasi ya Paul Makonda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS