Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole, amesema ushindi wa mwaka kwa mgombea Urais wa CCM ni asilimia 90 na ni vizuri kuwaambia watu mapema na kuwaandaa kisaikolojia.