Magufuli ashinda kwa asilimia 100 kugombea CCM Ndugu John Magufuli kwenye Mkutano Mkuu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, wamempitisha Ndugu John Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kwa kura 1822. Read more about Magufuli ashinda kwa asilimia 100 kugombea CCM