Moo Dewji amuomba Rais Magufuli kubadilisha Uwanja
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba Moo Dewji na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji "Moo Dewji", amemuomba Rais John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin William Mkapa.