Mbatia achukuliwa fomu ya Ubunge, atoa neno
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo, kwa kauli moja wamechanga fedha kiasi cha Sh 370,000 na kumchukulia fomu Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake James Mbatia kwa ajili ya kugombea ubunge kwa kipindi kingine.

