"Wanaobeza uchumi wa kati ni wagonjwa" - Pinda

Waziri Mkuu Msataafu, Mizengo Pinda.

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, amempongeza Rais Magufuli pamoja na Watanzania kiujumla, kufuatia ripoti ya Benki ya Dunia iliyoitaja Tanzania kama imefikia kuwa nchi yenye uchumi wa kati na kuwashangaa wale wote wanaobeza hatua hiyo na kudai kuwa ni wagonjwa wa akili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS