Mama Samia aongoza viongozi kumuaga Mkapa
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amewaongoza viongozi mbalimbali wa kiserikali wakiwemo mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, viongozi wa taasisi za serikali pamoja na mamia ya wananchi katika siku ya pili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa A
