Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru wazee wa Nachingwea kwa mchango wao wa sh. 100,000 walioutoa ili umsaidie katika kipindi hiki cha uchaguzi.