Q Chief ajikataa kwa Harmonize Msanii Q Chief na Harmonize wakati wana-shoot video Msanii mkongwe wa BongoFleva Q Chief amesema yeye ndiyo aliamua kujikataa ili kutovunja heshima kwa msanii Harmonize baada ya kuwepo na maneno kuhusu kusaidiwa na msanii huyo. Read more about Q Chief ajikataa kwa Harmonize