Lissu kuuaga mwili wa Rais Mkapa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Julai 28, 2020, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu atahudhuria shughuli za utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Benjamin william Mkapa, katika Uwanja wa Uhuru.

