Zitto atangaza Jimbo atakalogombea

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini anayemaliza muda wake Zitto Kabwe, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine tena.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS