Kivumbi nafasi ya pili na kushuka daraja VPL leo Moja ya mechi ya Mtibwa Sugar na Mwadui FC Ratiba ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara inatarajia kuhitimishwa leo ambazo michezo yote itapigwa kwa muda mmoja katika viwanja tofauti tofauti. Read more about Kivumbi nafasi ya pili na kushuka daraja VPL leo