Kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi na Kulia ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Miongoni mwa wale ambao walikuwa mawaziri lakini hawajateuliwa ni pamoja na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Geoffrey Mwambe na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo.
Tazama video hapa kuona walioteuliwa