Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Zaidi ya kondomu 345,000 zilizotumika, zakamatwa

Friday , 25th Sep , 2020

Kufuatia kukamatwa kwa mipira ya kiume (kondomu), 345,000 ambazo zimekwishatumika na kusafishwa kisha kurudishwa madukani baadhi ya wananchi wa Vietnam wamesema kuwa bidhaa hizo zisiuzwe kwa rejareja badala yake ziuzwe katika maduka maalumu ambayo yamethibitishwa na shirika la afya.

Kondomu zilizokamatwa Vietnam

Jeshi la polisi la nchini Vietnam lilikamata  mipira hiyo ya kiume 345,000 zilizotumiwa ambazo ziliripotiwa kumwagiwa maji ya moto kwa ajili ya kusafishwa ili kurejeshwa tena sokoni.

Mipira hiyo ya kiume ambayo ni zaidi ya kilo 360 zimekamatwa katika jiji la Ho Chi huko Vietnam baada ya  mkazi aliyekuwa jirani na eneo la tukio kutoa taarifa ambazo zilichunguzwa na jeshi hilo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kituo cha serikali cha Vietnam Televisheni (VTV) ilionyesha mifuko  mikubwa iliyo na dawa zinazotumiwa kwa ajili ya zoezi hilo.

Mwanamke aliyekamatwa  baada ya polisi kuvamia eneo hilo ameeleza kuwa  wamekuwa wakizichemsha kisha kuzianika katika mti na kuandaliwa kwaajili ya kuuzwa tena.

Lakini mpaka sasa  jeshi la polisi halijatoa tamko rasmi kuhusiana na tukio hilo kutokana na kufuata taratibu za kisheria

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala