Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtoto wa miaka 12 ajinyonga

Friday , 23rd Aug , 2019

Mtoto wa Darasa la nne katika Shule ya Msingi  Osanyui aitwaye Elibariki Lekine, mkazi wa Murieti Mkoani Arusha, amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani katika nyumba ambayo inaendelea na ujenzi.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Jonathan Shana, ambapo amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa, mtoto huyo kabla ya kufariki alikuwa na ugomvi na Baba yake Mzazi.

''Ugomvi ulikuwa  unatokana na marehemu kutotaka kwenda shule, inaonekana kwamba marehemu alikuwa mtoro sugu, hili nimpongeze baba yake kwa kuhakikisha kwamba mtoto anaenda shule, na mwezi mmoja au miwili iliyopita mzazi wake alijaribu  kumpeleka kwa ndugu zake ambao ni wakali zaidi lakini pamoja na hayo mtoto akawa bado hataki, nadhani baada ya mtoto kuona kabanwa kila pembe akaamua kuutoa uhai wake'' amesema RPC Shana.

Ndani ya Juma moja Mkoa wa Arusha umekumbwa na matukio mawili ya watoto ambao ni wanafunzi kujichukulia sheria mkononi ambazo zinagharimu uhai wao.

Jumapili iliyopita mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Arusha Meru Faisal Salimu Ibrahim (19), alijiua kwa kujipiga risasi moja kichwani katika paji la uso katika chumba chake kwa kutumia bunduki aina ya Rifle Winchester inayomilikiwa na Baba yake aitwaye Salim Ibrahim (56yrs).
 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala