Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nembo ya Benki yatengenezwa kwa Mil. 495

Thursday , 22nd Aug , 2019

Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),  Profesa Mussa Assad ya mwaka wa fedha 2017/2018, aliyoiwasilisha Bungeni mapema mwa mwaka 2019, iliyoeleza gharama ya utengenezaji wa nembo ya Benki ya TPB, imekuja na sura mpya.

Uzinduzi wa nembo ya Bank ya Posta (TPB).

Kufuatia hali hiyo,  Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) imeiagiza benki hiyo kupeleka mikataba miwili ya zabuni ya utengenezaji wa nembo ya benki kwa ajili ya kupitia baada ya kubaini upungufu.

Akizungumza jana Agosti 21, 2019 Mwenyekiti wa kamati hiyo, Naghejwa Kaboyoka, amesema lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha mashirika yanafuata sheria ya manunuzi ya umma ili kufanya kazi kwa ufanisi na kuongeza mpato ya Serikali kuu.

''Wanashindwa kutimiza na kusimamia fedha za umma wakijua kuwa watabebwa bebwa tu, wanapaswa kutambua Serikali haitaingilia hilo'' amesema Mwenyekiti wa PAC.

Ripoti ya CAG ilibainisha kuwa, utengenezwaji wa nembo ya benki  hiyo uligharimu kiasi cha shilingi milioni 495, ambapo CAG alisema uamuzi wa bodi ya wazabuni ni wa kutia shaka kwani gharama hiyo ilikuwa na ongezeko la mara mbili ya zabuni ya kwanza iliyokuwa imepitishwa.

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu