
Picha ya Cardi B

Picha ya mwanamuziki Harmonize

Picha ya Davido na Wizkid

Chakula cha msaada

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga akizungumza mara baada ya kamati yake na
viongozi mbalimbali kuwasili mkoani Ruvuma kuanza ziara ya Mradi wa Hifadhi Endelevu ya Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa (SLM-Nyasa) unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa leo Machi 16, 2024

Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria.

Ujumbe wa Tanzania (Kushoto) ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (katikati kushoto), na Ujumbe wa Burundi ukiongozwa na Waziri wa Miundombinu na Makazi, Mhe. Dieudonne Dukundane (katikati kulia), wakiwa katika kikao cha pamoja, kilichofanyika jijini Dodoma, kilichojadili kuhusu Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) itakayounganisha nchi hizo mbili.