![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2024/03/18/Hamrm.jpg?itok=3CwzbhXt×tamp=1710758896)
Picha ya mwanamuziki Harmonize
Harmonize ameshea hilo kupitia 'Insta Story' akitaja na nyimbo zake 3 bora kabisa zilizotoka 2024 ambazo ni Dharau ya Ibraah, Daah Nandy na Mapoz ya Diamond Platnumz.
Zipi nyimbo zako bora ambazo zimeshatoka mpaka sasa 2024.