Jumatatu , 18th Mar , 2024

Rapa Cardi B anatuambia kupitia kazi yake ya muziki imemfanya kutengeneza zaidi ya Dolla Milioni 80 sawa na Tsh Bilioni 204.

Picha ya Cardi B

"Napata pesa nyingi, nyingi, nyingi. Ninahisi nimepita karibu Dola Milioni 80 lakini pia nalipa bili nyingi. Ninasaidia sana familia yangu, marafiki na kila kitu" anasema Cardi B.

Kazi unayofanya imekutengenezea jumla ya kiasi gani cha pesa mpaka sasa?