
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mhe. Dkt. Mokgweetsi Masisi wakati alipofika ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomwakilisha kwenye Mkutano wa Ajenda 2063 uliohusisha Wakuu wa Nchi za Afrika

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama akipokea mfano wa hundi ya Sh.milioni 100 kutoka Camel Cement na vitu vingine kutoka Camel Oil.

Wachezaji wa Girona wakishangilia baada ya kufunga bao kwenye ushindi wa mabao 4-2 walioupata jana usiku dhidi ya FC Barcelona.

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime

Vijana waliokatwa vidole gumba

Vijana waliokatwa vidole gumba