
Picha ya Diamond Platnumz kulia kushoto ni Baba Levo

Picha ya msanii Saynag Tz

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene

Taswira ya Mtandao wa Bomba la kusafirishia maji kupeleka kwenye Mtambo wa uzalishaji umeme katika eneo la Mradi wa kuzalisha umeme wa maji (kilovoti 2,400) Idete wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa,

Mkuu wa Wilaya ya Geita, Kanali Boniphace Maghembe (wa pili kushoto) akipokea nyaraka za vifaa mbalimbali vya tiba kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Musa Shunashu (wa kwanza kulia).