
Picha ya msanii Saynag Tz
"Wanawake kusema nimekuzimia ni ngumu, sasa hivi mwanamke akikwambia hivyo ujue yupo kibiashara".
Saynag ameongeza kusema wanawake wa kibiashara ni rahisi kumwambia mwanaume nakupenda kwa sababu kuna vitu anataka au anategemea atavipata kiwepesi kwa mwanaume huyo.