Sunday , 24th Sep , 2023

Msanii Belle 9 anasema record lebels za muziki zenye nguvu Tanzania hazifiki 3 ila zinazofahamika zinafika 20 na hata wasanii waliokuwepo kwenye lebo hizo hawajafikia level kubwa.

Msanii Belle 9

"Kusaini wasanii sio kitu rahisi. Record lebels 3 hazijafika Tanzania ambazo zina nguvu lakini zinazofahamika zipo hata 20" amesema Belle 9.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia suala hilo.