Jumapili , 24th Sep , 2023

Unaambiwa kazi sio kumpata Diamond Platnumz kufanya naye Collabo, kazi ni kuzipata hizo pesa ili uweze kumlipa afanye na wewe ngoma 1.

Picha ya Diamond Platnumz kulia kushoto ni Baba Levo

Hilo ametueleza msanii Baba Levo kupitia video hii akiwa na Billsepenga akifunguka kuwa Diamond Platnumz anatoza Tsh Milioni 120 kufanya Collabo 1.

 

Zaidi tazama hapa kwenye video Baba Levo akizungumzia suala hilo.